Thursday 18 August 2016
Sunday 7 August 2016
OUTREACH-UDOM, BAHII (WANACASFETA kutoka ST JOHN walijumuika nao).
09:48:00
No comments
Click Here >>>OUTREACH-UDOM BAHII TEMBELEA LINK HII KWA MATUKIO ZAIDI <<<
Mkutano mkubwa wa injili ulioisha leo huko BAHI ulikuwa wenye Nguvu za Mungu na miujiza ya Mungu,pia wanaCASFETA kutoka ST JOHN walijumuika na wana UDOM katika kutangaza injili ya YESU katika viwanja viliyopo karibu na STENDI KUU ya BAHI.
Mkutano mkubwa wa injili ulioisha leo huko BAHI ulikuwa wenye Nguvu za Mungu na miujiza ya Mungu,pia wanaCASFETA kutoka ST JOHN walijumuika na wana UDOM katika kutangaza injili ya YESU katika viwanja viliyopo karibu na STENDI KUU ya BAHI.
CASFETA ST JOHN wakiwa Ndani ya gari wakielekea kwenye mkutano BAHI |
MKUTANO Ukionekana kwa mbali |
Mwinjilist akihubiri neno laMUNGU kwenye viwanya vya BAHI |
Watumishi wakiwaombea watu walioenda mbele kwa ajili ya mahitaji mbalimbali na waliotaka kumpokea YESU kristo |
Friday 5 August 2016
Wednesday 3 August 2016
JOINTMASS YA WILAYA ILIYOFANYIKA ST JOHN UNIVERSITY DODOMA
Jointmass ya CASFETA TAYOMI iliyofanyika St john university, ni jointmass ya wilaya ya Dodoma mjin iliyo husisha matawi mbalimbali ya Dodoma Mjini ya CASFETA TAYOMI,ambayo ni matawi ya shule ya msingi (BCF) ,sekondari na matawi ya chuo.
WANAKWAYA WA CHUO CHA ST JOHN WAKIJIANDAA KUIMBA |
MLEZI AKIWASHUKURU BAADHI YA WANACASFETA WALIOENDA KUTEMBELEA TAWI LA CHUO HOMBOLO |
MLEZI AKIMPA ZAWADI MWENYEKITI WA NKUHUNGU KWA KUHAMASISHA TAWI LAKE KUJA KWENYE JOINTMASS |
VIONGOZI WAKISIKILIZA MAHUBIRI KWA UTULIVU ZAIDI |
WANAFUNZI WAPYA WA MIPANGO NA HOMBOLO WAKIKARIBISHWA KWA WANACASFETA TAYOMI |
Monday 4 July 2016
WanaCASFETA TAYOMI ST JOHN Walipoenda kumtembelea mwanaCASFETA MWENZAO
02:28:00
No comments
WanaCASFETA TAYOMI wa St John ambao pia ni waimbaji wa kundi la Chosen Generation wakiwa katika picha ya pamoja na mwanaCasfeta mwenzao aliyekaa kwenye kiti katika,aliyekuwa anaumwa,dada Clene Doto.Nyumbani kwao Chang'ombe,Dodoma.
MAHAFALI YA CASFETA TAYOMI STJOHN YAPENDEZA
02:18:00
No comments
Baadhi ya wahitimu wakipiga picha na viongoz wao
Aliyekuwa mwenyekit wa tawi wa zamani MR,Chuwa akimlisha mchumba wake keki ya kuhitmu
Aliyekuwa mwenyekit wa wakaka wa tawi akiwa katika picha ya pamoja na mke wake
(Mr&Mrs KAFUMU)
Baadhi ya wahitimu wakiwa katika picha ya pamoja
Wahitimu wakiwa pamoja na mgen rasmi katika picha ya pamoja katika mahfali hayoMonday 6 June 2016
wanaCASFETA kwenye mkutano EAGT BETHELI,Kikuyu, Dodoma
08:49:00
No comments
WanaCASFETA wa SJUT pamoja na wa UDOM wakiwa kwenye mkutano ambao ulianza tarehe 28/05-04/06 katika viwanja vya EAGT Betheli,Mkutano ulikuwa wenye baraka na nguvu za MUNGU, watu wengi waliponywa magonjwa mbalimbali na kuwekwa huru mbali na vifungo vya Ibilisi.
WanaCASFETA wakifuatilia mkutano kwa makini
Maombezi yakifanyika katika viwanja vya EAGT BETHELIThursday 19 May 2016
Matukio mbalimbali ya inreach-EAGT Amani 2016
03:19:00
No comments
WanaCASFETA wakisikiliza neno katika kanisa la EAGT AMANI siku ya mwisho ya Inreach
Kwaya mbalimbali zilizoshiriki katka mkutano wa inreach EAGT Amani, Kikuyu Dodoma.
Kwaya ya CASFETA TAYOMI SJUT wakishangilia na kumuimbia MUNGU, katika uwanja wa kanisa la EAGT Amani, kikuyu Dodoma siku ya INREACH
Mwenyekiti wa tawi la CASFETA TAYOMI SJUT, Ndugu ISACK SUDI, akisalimia mkutano katika viwanja vya EAGT AMANI
Mchungaji,wahubiri na viongoz wakifuatilia Mkutano kwa makini katika viwanja vya EAGT Amani, kikuyu Dodoma.
Mlezi wa CASFETA TAYOMI vyouni ndugu SULEMAN KURWA akisalimia mkutano,katiaka viwanja vya EAGT Amani Kikuyu, Dodoma.
Upande wa kushoto ni Mwenyekit wa EEMC Taifa akisalimia mkutano,Kulia ni mchungaji kiongozi wa kanisa la EAGT AMANI akisalimia mkutano.
Siku ya mwisho ya Mkutano wanaCASFETA TAYOMI SJUT, wakipata chakula cha pamoja na kanisa .
Saturday 7 May 2016
MAAFALI CASFETA TAYOMI SJUT
06:15:00
No comments
Maafali ya baadhi ya WANACASFETA TAYOMI SJUT walio hitimu masomo yao hapa chuoni (St John University of Tanzania). Mahafali haya yalifanyikia hapahapa chuoni, katika kanisa la chuo (Chapel), tarehe 30 May 2015.
Subscribe to:
Posts (Atom)