MAHUBIRI NA MAFUNDISHO

Friday, 16 February 2018

CASFETA TAYOMI - SJUT SEMINA ( FEBRUARY 2018 )

CASFETA TAYOMI ST JOHN'S UNIVERSITY OF TANZANIA inayo kila sababu kukukaribisha kwenye semina ya Neno la Mungu iliyoanza tarehe 12th Feb 2018 na inayotarajiwa kumalizika tarehe 17th Feb 2018. Semina inahusisha masomo katika idara ya Elimu, EEMC na Maadili & mahusiano. Hivyo ndugu katika Kristo tunakukaribisha kwenye semina ili         tuweze kujifunza pamoja Neno la Bwana.









0 comments: