MAHUBIRI NA MAFUNDISHO

Sunday, 7 August 2016

OUTREACH-UDOM, BAHII (WANACASFETA kutoka ST JOHN walijumuika nao).

Click Here >>>OUTREACH-UDOM BAHII TEMBELEA LINK HII KWA MATUKIO ZAIDI <<<
Mkutano mkubwa wa injili ulioisha leo huko BAHI ulikuwa wenye Nguvu za Mungu na miujiza ya Mungu,pia wanaCASFETA kutoka ST JOHN walijumuika na wana UDOM katika kutangaza  injili ya YESU katika viwanja viliyopo karibu na STENDI KUU  ya BAHI.

CASFETA ST JOHN wakiwa Ndani ya gari wakielekea kwenye mkutano BAHI 

MKUTANO Ukionekana kwa mbali


Mwinjilist akihubiri neno laMUNGU kwenye viwanya vya BAHI

Watumishi wakiwaombea watu walioenda mbele kwa ajili ya mahitaji mbalimbali na waliotaka kumpokea YESU kristo


0 comments: