MAHUBIRI NA MAFUNDISHO

Wednesday, 3 August 2016

JOINTMASS YA WILAYA ILIYOFANYIKA ST JOHN UNIVERSITY DODOMA

Jointmass ya CASFETA TAYOMI iliyofanyika St john university, ni jointmass ya wilaya ya Dodoma mjin iliyo husisha matawi mbalimbali ya Dodoma Mjini  ya CASFETA TAYOMI,ambayo ni  matawi ya shule ya msingi (BCF) ,sekondari na matawi ya chuo.

WANAKWAYA WA CHUO CHA ST JOHN WAKIJIANDAA KUIMBA



MLEZI AKIWASHUKURU BAADHI YA WANACASFETA WALIOENDA KUTEMBELEA TAWI LA  CHUO HOMBOLO

MLEZI AKIMPA ZAWADI MWENYEKITI WA  NKUHUNGU KWA KUHAMASISHA TAWI LAKE KUJA KWENYE JOINTMASS






VIONGOZI WAKISIKILIZA  MAHUBIRI KWA UTULIVU ZAIDI





WANAFUNZI WAPYA WA MIPANGO NA HOMBOLO WAKIKARIBISHWA KWA WANACASFETA TAYOMI

0 comments: