Mkutano wa inreach wa mwaka 2018 katika kanisa la Pentecost Holiness Mission ulianza siku ya jumatano ya tarehe 17/01/2018 na kumalizika siku ya jumapili ya tarehe 21/01/2018.tunamshukuru MUNGU muumba mbingu na nchi kwa kutuwezesha na kutufanikisha katika kazi hii ya kumvunia BWANA nafsi ili zimjue yeye na pendo lake kwa mwanadamu.MATUKIO YA SIKU YA KWANZA.....
OUTREACH MUHEZA TANGA 2019- DAY 1
-
* Outreach (*mkutano wa nje wa injili) wa siku nane
ulioandaliwa na wanaCasfeta-Tayomi kutoka chuo kikuu cha Dodoma
(CASFETA-TAYOMI U...
5 years ago
0 comments:
Post a Comment