CASFETA-TAYOMI-SJUT-DODOMA

CHRIST AMBASSADORS STUDENTS FELLOWSHIP - TANZANIA YOUTH MINISTRY - ST JOHN'S UNIVERSITY OF TANZANIA.

UMOJA, UTAKATIFU, ELIMU

TO CHANGE THE LIFE OF THE YOUTH, TO CHANGE THE WORLD.

CHOOSEN GENERATION BAND SJUT DODOMA

YOU CAN DO EVERYTHING THROUGH CHRIST WHO GIVES YOU STRENGTH....PHILLIPPIANS 4:13.

CASFETA TAYOMI SJUT

"SO DO NOT FEAR, FOR I AM WITH YOU, DO NOT BE DISMAYED, FOR I AM YOUR GOD, I WILL STRENGTHEN YOU AND HELP YOU, I WILL UPHOLD YOU WITH MY RIGHTEOUS RIGHT HAND"....Isaiah 41:10.

INREACH DODOMA

THE PREACHING OF CHRIST IS THE WHIP THAT FLOGS THE DEVIL, THE PREACHING of CHRIST IS THE THUNDERBOLT, THE SOUND OF WHICH MAKES HELL SHAKE.

MAHUBIRI NA MAFUNDISHO

Monday, 4 July 2016

wahitimu wa CASFETA TAYOMI ST JOHN Wakifurahi na kucheza 2016


wahitimu wanaCASFETA TAYOMI ST JOHN wakiingia ukumbini siku ya mahafali yao


WanaCASFETA TAYOMI ST JOHN Walipoenda kumtembelea mwanaCASFETA MWENZAO

WanaCASFETA TAYOMI wa St John ambao pia ni waimbaji wa kundi la Chosen Generation wakiwa katika picha ya pamoja na mwanaCasfeta mwenzao aliyekaa kwenye kiti katika,aliyekuwa anaumwa,dada Clene Doto.Nyumbani kwao Chang'ombe,Dodoma.

MAHAFALI YA CASFETA TAYOMI STJOHN YAPENDEZA

 Baadhi ya wahitimu wakipiga picha na viongoz wao
 Aliyekuwa mwenyekit wa tawi wa zamani MR,Chuwa akimlisha mchumba wake keki ya kuhitmu

Aliyekuwa mwenyekit wa wakaka wa tawi  akiwa katika picha ya pamoja na mke wake
(Mr&Mrs KAFUMU) 
 Baadhi ya wahitimu wakiwa katika picha ya pamoja
 Wahitimu wakiwa pamoja na mgen rasmi katika picha ya pamoja katika mahfali hayo

Monday, 6 June 2016

wanaCASFETA kwenye mkutano EAGT BETHELI,Kikuyu, Dodoma


WanaCASFETA  wa SJUT pamoja na wa UDOM wakiwa kwenye mkutano ambao ulianza tarehe 28/05-04/06 katika viwanja vya EAGT Betheli,Mkutano ulikuwa wenye baraka na nguvu za MUNGU, watu wengi waliponywa magonjwa mbalimbali  na kuwekwa huru mbali  na vifungo vya Ibilisi. 



WanaCASFETA wakifuatilia mkutano kwa makini
                          Maombezi yakifanyika katika viwanja vya EAGT BETHELI

Thursday, 19 May 2016

Matukio mbalimbali ya inreach-EAGT Amani 2016

Kikundi cha CHOSEN GENERATION BAND,CASFETA TAYOMI SJUT.


WanaCASFETA wakisikiliza neno katika kanisa la EAGT AMANI siku ya mwisho ya Inreach






Kwaya mbalimbali zilizoshiriki katka mkutano wa inreach EAGT Amani, Kikuyu Dodoma.




   Kwaya ya CASFETA TAYOMI SJUT wakishangilia na kumuimbia MUNGU, katika uwanja wa        kanisa la EAGT Amani, kikuyu Dodoma siku ya INREACH









Mwenyekiti wa tawi la CASFETA TAYOMI SJUT, Ndugu ISACK SUDI, akisalimia mkutano katika viwanja vya EAGT AMANI


 
Mchungaji,wahubiri na viongoz wakifuatilia Mkutano kwa makini katika viwanja vya EAGT Amani, kikuyu Dodoma.


Mlezi wa CASFETA TAYOMI vyouni ndugu SULEMAN KURWA akisalimia mkutano,katiaka viwanja vya EAGT Amani Kikuyu, Dodoma.

Upande wa kushoto ni Mwenyekit wa EEMC Taifa akisalimia mkutano,Kulia ni mchungaji kiongozi wa kanisa la EAGT AMANI akisalimia mkutano.


Siku ya mwisho ya Mkutano wanaCASFETA TAYOMI SJUT, wakipata chakula cha pamoja na kanisa .


Saturday, 7 May 2016

MAAFALI CASFETA TAYOMI SJUT

Maafali ya baadhi ya WANACASFETA TAYOMI SJUT walio hitimu masomo yao hapa chuoni (St John University of Tanzania). Mahafali haya yalifanyikia hapahapa chuoni, katika kanisa la chuo (Chapel), tarehe 30 May 2015.