Ushuhudiaji kama agizo ambalo tumepewa na Mungu. ni sehemu moja wapo ambayo CASFETA-TAYOMI SJUT wanamtumikia mungu kwa njia hiyo. tarehe 6 siku ya jumaosi ya kwanza ya mwaka 2017 ushuhudiaji ulianza katika chuo kuku cha ST. JOHN'S UNIVERSITY OF TANZANI.
Ushuhudiaji huo ulifanyika ndani ya chuo katka madarasa na sehemu wanazoishi wanachuo hao. wako waliofunguliwa na kuponywa siku hiyo pia watu kadha wa kadha walimpokea YESU kuwa BWANA na mwokozi wa mwokozi wa maisha yao.
hitimisho katika siku hiyo ilifanyikia eneo la mdegree ambapo EV. FAUSTINE HALINGA alihubiri akishirikiana na EV ISSACK SUDI.>>>MAHUBIRI SIKU YA USHUHUDIAJI MDEGREE KATIKA CHUO KIKUU CHA ST. JOHN'S UNVERSITY OF TANZANIA. NA EV. HALINGA FAUSTINE & EV. ISSACK SUDI.
OUTREACH MUHEZA TANGA 2019- DAY 1
-
* Outreach (*mkutano wa nje wa injili) wa siku nane
ulioandaliwa na wanaCasfeta-Tayomi kutoka chuo kikuu cha Dodoma
(CASFETA-TAYOMI U...
5 years ago
0 comments:
Post a Comment